Msaada

Matumizi

Ona pesa ya biashara yako inakwenda wapi.

  1. 1

    Rekodi matumizi kwa makundi kama kodi, usafiri au manunuzi ya bidhaa.

  2. 2

    Matumizi yanaingia moja kwa moja kwenye ripoti za faida.

Zungumza na timu ya Wazabiashara.

Wasiliana

Uko tayari kudhibiti biashara yako?

Anza kusimamia mauzo, bidhaa, wateja na taarifa za biashara yako mahali pamoja.