POS ya Kasi ya Umeme
Uza kwa sekunde — scan barcode kwa kamera ya simu, toa risiti kwa printer, SMS au WhatsApp.
Mauzo, stoo, matawi, wafanyakazi na madeni — kwenye mfumo mmoja salama. Inafanya kazi hata bila intaneti, na malipo ya M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money moja kwa moja.
Wafanyabiashara 1,000+ wanaamini Wazabiashara
Mauzo ya Leo
TZS 0
Malipo Yamepokelewa
M-Pesa • TZS 45,000
0+
Biashara Zinazotumia
0
Mikoa ya Tanzania
0.5%
Upatikanaji (Uptime)
0s
Kukamilisha Muuzo
Kuanzia kaunta ya duka hadi ripoti za mmiliki — kila muamala uko salama na unaonekana.
Uza kwa sekunde — scan barcode kwa kamera ya simu, toa risiti kwa printer, SMS au WhatsApp.
Tahadhari za bidhaa zinazoisha na zinazo-expire. Hesabu stoo na uone tofauti papo hapo.
Kila tawi na stoo yake na hesabu zake — wewe unaona yote live, popote ulipo.
Madeni hayasahauliki tena — SMS za kukumbusha wateja zinatumwa zenyewe.
Faida, hasara, mauzo kwa tawi na mfanyakazi — kwa siku, wiki, mwezi. PDF na Excel.
Intaneti ikikatika mauzo yanaendelea — ikirudi, kila kitu kina-sync chenyewe.
Weka jina, namba ya simu na jina la biashara yako. Thibitisha kwa OTP — dakika 2 tu.
Weka bidhaa, bei na wafanyakazi wako. Una matawi? Yaongeze yote sehemu moja.
POS ya kasi, risiti za SMS, na dashibodi inayokuonyesha kila senti — live.